Taasisi ya Elimu ya Zanzibar inaendelea na warsha ya kuandaa mpango wa mafunzo ya utekelezaji wa Mtaala mpya wa vyuo vya ualimu

Taasisi ya Elimu ya Zanzibar inaendelea na warsha ya kuandaa mpango wa mafunzo ya utekelezaji wa Mtaala mpya wa vyuo vya ualimu kwa wakufunzi wa vyuo vya ualimu Zanzibar. Warsha hiyo imehusisha walimu wastaafu wa chuo cha ualimu Nkrumah, wahadhiri kutoka chuo kikuu cha Taifa cha Zanzibar na Maafisa wengine wa WEMA chini ya muwezeshaji kutoka Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM).

Huduma Tunazotoa

Huduma zinazotolewa na Taasisi ya Elimu ya Zanzibar.

Mitaala

Kuishauri Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar juu ya mambo yanayohusiana na ukuzaji Mitaala ya Elimu ya Maandalizi, Msingi, Elimu ya Sekondari pamoja na Vyuo vya Ualimu

Tafiti

Kufanya tafiti za Elimu na Kuthibiti Ubora kwenye vifaa vya kufundishia na kujifunzia

Vifaa vya Kufundishia

Kuratibu Utayarishaji wa Vifaa vya Kufundishia na Kujifunzia kwa walimu na wanafunzi

Kutoa Mafunzo

Kutoa Mafunzo kazini yanayohusiana na Mitaala na Vifaa vya Kufundishia na Kujifunzia

Viongozi Wetu

23Miaka

Ya uzoefu katika kutoa huduma ya Mitaala

6657Walimu

Jumla ya walimu waliopatiwa
mafunzo ya mitaala

7760Walimu

Tunategemea kuwapatia mafunzo
ya Mtaala mpya 2024

1,222,756
Vitabu vya Mwalimu na Mwanafunzi

Vimeshapishwa kwa ajili
ya mtaala mpya 2024