Mafunzo ya Mtaala mpya wa Umahiri kwa Wakufunzi.

Taasisi ya Elimu ya Zanzibar inaendelea na Mafunzo ya Mtaala mpya wa Umahiri kwa Wakufunzi ambao wanatarajiwa kuwafundisha walimu wanaofundisha elimu ya msingi (darasa la tatu)