Ziara ya Kujenga Uhusiano mwema

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Elimu ya Zanzibar Nd. Abdalla Mohamed Mussa akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Ujerumani DVV pamoja na viongozi wa Taasisi ya Elimu ya Watu wazima Tanzania baada ya kufanya mazungumzo ya kubadilishana Uzoefu katika masuala ya Elimu ya Watu Wazima.