TEZ yapokea Ugeni kutoka Gambia

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Elimu ya Zanzibar Aballa M. Mussa akizungumza na Wageni kutoka Wizara ya Elimu ya nchi ya Gambia waliofika ofisi za Taasisi ya Elimu Kujifunza kuhusu Mtaala Mpya wa Umahiri.